RC KIGOMA AHIMIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KATIKA UZALISHAJI SEKTA ZA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI

Kigomapressclub- August 27, 2024 0

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andengenye amewataka wananchi katika mikoa ya Kigoma na Tabora kujifunza mbinu bora pamoja na kutumia Teknolojia katika uzalishaji ... Soma zaidi

DKT. MPANGO: JAMII IONGEZE UMAKINI KATIKA MATUMIZI YA VYOMBO VYA MOTO ILI KUEPUSHA AJALI

Kigomapressclub- August 27, 2024 0

Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema jamii inapaswa kuongeza umakini na weledi katika matumizi ya vyombo vya moto barabarani ili kuepusha ajali ambazo kwa ... Soma zaidi

SHIRIKA LA AIRD NA KGPC KUINGIA MAKUBALIANO YA KIUTENDAJI

Kigomapressclub- August 27, 2024 0

Shirika la African Initiatives for Relief and Development- (AIRD) na Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Kigoma-KGPC wanataraji kuingia hati ya makubaliano (MOU) kwa ajili ... Soma zaidi

RC ANDENGENYE AKABIDHI VITENDEA KAZI KWA MAAFISA UGANI KILIMO KIGOMA

Kigomapressclub- August 26, 2024 0

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andengenye ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kupitia Wizara ya Kilimo kwa kuendelea kufanya Mapinduzi makubwa kwenye Sekta ... Soma zaidi