TAASISI INAYOFUNZA PANYA KUPIMA VIMELEA VYA TB YAJIPANGA KUISHAWISHI WHO KUIDHINISHA NJIA HIYO KUWA RASMI TANZANIA

Kigomapressclub- September 24, 2024 0

Moja ya panya wanatumika kupima TB Happiness Tesha, Kigoma Taasisi ya APOPO inayoendesha mradi wa Panya wanaotumika kugundua virusi vya ugonjwa Kifua Kikuu(TB), nchini Tanzania ... Soma zaidi

TARI YAANZA KAZI YA UOTESHAJI WA MICHE YA ZAO LA MKONGE KWA NJIA YA MAABARA

Kigomapressclub- September 24, 2024 0

Baadhi ya miche ya mkonge iliyooteshwa maabara Happiness Tesha, Kigoma Kituo cha utafiti wa Kilimo TARI kimeanza kazi ya uoteshaji wa miche ya zao la ... Soma zaidi

NZI WA KUFUNGWA WATUMIKA KAMA CHAKULA CHA MIFUGO

Kigomapressclub- September 24, 2024 0

Happiness Tesha, Kigoma. Denis Kamanzi ni kijana aliyehitimu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine amejiajiri kwa kuzalisha Nzi maarufu Black soldier fly ambao anawauza kama Chakula ... Soma zaidi

JESHI LA POLISI LAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA CHADEMA

Kigomapressclub- September 13, 2024 0

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro Jeshi la Polisi nchini Tanzania limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Septemba 23, 2024 jijini Dar es Salaam ya Chama cha Demokrasia ... Soma zaidi

UTUMIAJI WA KILEVI, SIGARA NA KUTOTUMIA DAWA ZA FROLIC ACIDI KWA MJAZIMTO, CHANZO CHA WATOTO KUZALIWA NA MDOMO WAZI

Kigomapressclub- September 13, 2024 0

Na Mwajabu Hoza, Kigoma. UTUMIAJI wa kilevi,uvutaji wa sigara na kutotumiwa kwa Dawa za Frolic Acidi  kwa mjazimto kunatajwa kuwa sababu ya baadhi ya watoto ... Soma zaidi

WILAYA YA UVINZA, YATOA TAKRIBANI SHILINGI MILIONI 25 KWA AJILI YA KUKAMILISHA UJENZI WA KITUO CHA AFYA

Kigomapressclub- September 11, 2024 0

Mwajabu Hoza, Kigoma. Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, mkoani Kigoma, imetoa fedha takribani milioni 25 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo cha afya cha ... Soma zaidi

DRC YATARAJIA DOZI ZA CHANJO YA MPOX TAREHE 5 SEPTEMBA

Kigomapressclub- September 4, 2024 0

Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo inatarajia dozi zake za kwanza za chanjo ya mpox siku ya Alhamisi, 5 Septemba. Kundi la kwanza litakuwa na dozi ... Soma zaidi

MCHANGO WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUPUNGUZA TATIZO LA UDUMAVU WILAYANI KIBONDO

Kigomapressclub- September 3, 2024 0

Na Mwajabu Hoza, Kigoma Vyombo vya habari vimekuwa na mchango mkubwa katika kupunguza tatizo la udumavu kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano ... Soma zaidi