TAKUKURU YATOA SEMINA KWA WATENDAJI WA KATA 19 KIGOMA UJIJI

Kigomapressclub- October 27, 2024 0

Na Mwajabu Hoza, Kigoma Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kigoma imefanya semina elekezi kwa watendaji wa kata 19 katika Halmashauri ... Soma zaidi

UDUMAVU WA WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO BADO NI CHANGAMOTO

Kigomapressclub- October 24, 2024 0

Na Mwajabu Hoza , Kigoma. LICHA  ya mkoa wa Kigoma kuwa miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa chakula cha aina mbalimbali bado tatizo la udumavu limeendelea ... Soma zaidi

WAKAZI KIGOMA AHIMIZWA KUJITOKEZA NA KUJIANDIKISHA KUELEKEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

Kigomapressclub- October 17, 2024 0

Na Mwandishi Wetu, Kigoma Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amejiandikisha katika Daftari la Mkazi la Mpigakura katika Mtaa wa Shede, kata ya Kigoma ... Soma zaidi

HAKUNA VITUO BANDIA VYA KUANDIKISHA WAPIGA KURA : MH. MCHENGERWA

Kigomapressclub- October 15, 2024 0

Na Mwandishi Wetu, Mwanza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu ... Soma zaidi

FANYA MAZOEZI, EPUKA MWILI ZEMBE

Kigomapressclub- October 15, 2024 0

  Na Mwandishi Wetu, Mwanza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewahimiza wananchi kufanya mazoezi ili kuepuka tabia bwete ... Soma zaidi

WASIMAMIZI WA UCHAGUZI WATAKIWA KUENDELEA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA

Kigomapressclub- October 14, 2024 0

Na Mwandishi Wetu, Kigoma Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amewaelekeza wasimamizi wa uchaguzi katika mamlaka za serikali za Mitaa kuendelea ... Soma zaidi

TANZANIA YAANZIMISHA MIAKA 25 BILA MWALIMU JULIUS NYERERE

Kigomapressclub- October 14, 2024 0

  Watanzania wamefanya kumbukumbu ya miaka 25 tangu kufariki kwa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, aliyefariki dunia tarehe 14 Oktoba 1999. Siku ya ... Soma zaidi