KIGOMA YAMLILIA MRATIBU DIANA RUBANGUKA
Maelfu ya wakazi mkoani Kigoma na wengine kutoka nje ya mkoa wa huo wamejitokea hii leo January 27,2025 kumzika Mratibu wa Kigoma Press Club (KGPC) ... Soma zaidi
TUMIENI VITAMBULISHO HIVYO KAMA FURSA YA KUKUA KIUCHUMI.
Na Mwandishi Wetu, Kigoma. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma, Vumilia Julius Simbeye amewataka wajasiriamali wadogo kutumia vitambulisho walivyopewa kutafutia fursa za kuwawezesha ... Soma zaidi
LISSU MWENYEKITI MPYA CHADEMA, AMNG,OA MBOWE
Na Mwandishi Wetu, Dar Es Salaam Matokeo ya jumla ya uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yametangazwa huku Tundu Lissu akiibuka kidedea. Katika ... Soma zaidi
TAJENI KERO ZENU ZA KIKODI ILI MPATIWE UFUMBUZI -RC KIGOMA
Na Mwandishi Wetu, Kigoma. Wafanyabiashara mkoani Kigoma wametakiwa kutumia fursa ya kikao kilichowakutanisha na Tume ya Rais ya Maboresho ya kodi, kutoa changamoto zao za ... Soma zaidi
UONGOZI MKOANI KIGOMA WATAKIWA KUENDELEA KUSIMAMIA UJENZI WA MIRADI YA MAENDELEO
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa ameusisitiza Uongozi wa Mkoa wa Kigoma kuendelea kusimamia kwa karibu shughuli za ujenzi wa Miradi ... Soma zaidi
WAUGUZI, WAKUNGA IMARISHENI MAWASILIANO KATI YENU NA WAGONJWA
Na Mwandishi Wetu, Pwani Wauguzi na wakunga wametakiwa kuimarisha mawasiliano bora na wagonjwa ili kuboresha utoaji wa huduma za afya, kuanzia huduma za afya ngazi ... Soma zaidi
CCM YAMPITISHA RAIS SAMIA KWA 100% KUGOMBEA URAIS 2025.
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Taifa wamempitisha Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Rais ... Soma zaidi