MABALOZI 600 WA CCM WATEMBELEA MIRADI INAYOTEKELEZWA NA SERIKALI KIGOMA
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Karibu mabalozi mia sita wa Chama cha Mapinduzi CCM katika manispaa ya kigoma mjini wametembelea miradi mikubwa inayotekelezwa na serikali ya ... Soma zaidi
CCM KASULU YAMPONGEZA DKT. SAMIA UTEKELEZAJI ILANI YA UCHAGUZI 2020-2025
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kasulu umeazimia na kutoa tamko la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa ... Soma zaidi
TUENDELEZE USHIRIKIANO WA KIIMANI ULIOPO: DC KIGOMA
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Mkuu wa Wilaya ya Kigoma amewataka Wananchi na Wakazi wa Wilaya hiyo kuendeleza umoja na mshikamano wa Kiimani uliopo Nchini Tanzania. ... Soma zaidi
MAJALIWA: HAKIKISHENI BIDHAA ZINAZOZALISHWA NCHINI ZINAKIDHI VIWANGO
Na Mwandishi Wetu, Dar Es Salaam WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za kudhibiti viwango nchini zihakikishe uzalishaji wa bidhaa zote zinazozalishwa zikiwemo za afya ... Soma zaidi
WIZARA YA UJENZI YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2024/25
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Wizara ya Ujenzi imewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/2025 na makadirio ya Mpango na ... Soma zaidi
DCC KIGOMA DC YAPIITISHA MCHAKATO MGAWANYO WA KATA
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) kimepitisha kwa kauli moja mchakato wa kugawanya kata za Simbo, Kalinzi na Mkongoro ... Soma zaidi
MRADI WA UMEME NYAKANAZI KIDAHWE MKOANI KIGOMA WAFIKIA 99%
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Mradi wa Umeme kutoka Nyakanazi Mkoani Kagera hadi Kidahwe Kigoma Msongo wa Kv. 220 umefikia Asilimia 99 ambapo tayari mkoa wa ... Soma zaidi
CCM YAPONGEZA UBORA WA MIRADI KIGOMA DC
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kigoma imepongeza ubora na kasi ya utekelezaji wa ... Soma zaidi
WANAHABARI ANDIKENI ZAIDI KUHUSU MALEZI NA MAKUZI: WAZIRI GWAJIMA
Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amewataka waandishi wa habari kuongeza kasi ya ... Soma zaidi