UVINZA WAZINDUA UGAWAJI WA MITUNGI YA GESI.
Na Mwandishi Wetu, Uvinza - Kigoma Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mh. Dinah Mathamani amezindua Ugawaji wa mitungi ya gesi kwa gharama ya elfu ishirini ... Soma zaidi
MFUMO WA SQAS KUBORESHA UTENDAJI KAZI MASHULENI
Na Mwandishi Wetu, Kasulu Kigoma Mfumo wa Kidigitali wa Uthibiti Ubora (SQAS) utaboresha utendaji kazi mashuleni kutokana matumizi yake kurahisisha upatikanaji wa taarifa sahihi kwa ... Soma zaidi
WAKUU WA MIKOA NA WAKURUGENZI NCHINI WAPEWA MAAGIZO MAHUSUSI
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tamisemi Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa amewaelekeza Wakuu wote wa mikoa kuwasimiamia Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali ... Soma zaidi
MRADI MPYA WA MAJI WILAYANI UVINZA KUMALIZA ADHA YA UPATIKANAJI WA MAJI KWA WANANCHI
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Wananchi waishio katika Kijiji cha Mtegowanoti na Mwangaza wameondokana na adha ya kutembea mwendo wa mita 400 kufuata maji kwa matumizi ... Soma zaidi
WATUMISHI VITUO VYA AFYA NGAZI YA MSINGI KUPEWA KIPAUMBELE ‘SAMIA SCHOLARSHIP’
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amemuelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Afya kutoa kipaumbele kwa watumishi kutoka vituo vya Afya ngazi ... Soma zaidi
MCHENGERWA: WAKURUGENZI, MSIWAONDOE WAGANGA WAFAWIDHI KWA MATAKWA YENU
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa, amewaelekeza Wakurugenzi wa ... Soma zaidi
WAZIRI MKUCHIKA ATOA WITO JAMII KUMLINDA MTOTO WA KIKE
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum), Mhe.George Mkuchika (Mb) ameitaka Jamii kuwalinda watoto wa kike ili waweze kufikia ... Soma zaidi
VIONGOZI WA MIKOA NA WILAYA WAAGIZWA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI MBIO ZA MWENGE
Na Mwandishi Wetu, Pwani Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kote nchini kuhamasisha ushiriki wa ... Soma zaidi
UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAKERE KUPUNGUZA ADHA KWA WANANCHI KUFUATA HUDUMA MBALI
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Ujenzi wa Kituo cha Afya Makere kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma utakaogharimu kiasi cha Sh.Bil. 2.62 ni utekelezaji ... Soma zaidi
TAMISEMI YATOA SIKU 30 WAHITIMU KIDATO CHA NNE 2024, KUBADIRI TAHASUSI ZAO
Na Mwandishi Wetu, Dodoma SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI, imetoa siku 30 kwa wahitimu wa elimu ya sekondari kidato cha nne 2024, kubadili chaguzi zao, ... Soma zaidi