MRADI WA KUJENGA USTAHIMILIVU WA MABADIRIKO YA TABIA NCHI WAZINDULIWA KIGOMA
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andengenye amezindua mradi wa kujenga Ustahimilivu wa Mabadiliko ya Hali ya Tabia Nchi mkoani ... Soma zaidi
MAIN FM YASAIDIA KUIBUA VIPAJI VYA MICHEZO KIGOMA – DC KIGOMA
Mkuu wa Wilaya Kigoma Dkt Rashid Chuachua (wakatikati) azindua jezi kwaajili ya Main FM cup msimu wa pili 2025. Na Editha Karlo,Kigoma MKUU wa Wilaya ... Soma zaidi
UJENZI WA UZIO KWENYE SHULE NCHINI, SERIKALI YAJA NA MKAKATI MAALUM
Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Serikali imesema tayari imeweka bajeti na michoro (Master Plan) kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika shule zote za Hsekondari za ... Soma zaidi
TIMU ZA USIMAMIZI WA AFYA NGAZI YA MIKOA ZAELEKEZWA KUSIMAMIA MIRADI YA AFYA
Na Mwandishi Wetu, Dar Es Salaam. Mkurugenzi wa Idara ya Afya Lishe na Ustawi wa Jamii, Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Rashid Mfaume amezielekeza timu ... Soma zaidi
RC KIGOMA AKABIDHI MAGARI KITENGO CHA LISHE MKOA NA HALMASHAURI
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Jamii imetakiwa kuzingatia utoaji wa lishe bora kwa watoto ili kujenga msingi mzuri wa makuzi jambo litakalosababisha uwepo cha kizazi chenye ... Soma zaidi