KIGOMA YAMLILIA MRATIBU DIANA RUBANGUKA

Maelfu ya wakazi mkoani Kigoma na wengine kutoka nje ya mkoa wa huo wamejitokea hii leo January 27,2025 kumzika Mratibu wa Kigoma Press Club (KGPC) Diana Rubanguka katika Kijiji cha Kajana Wilayani Buhigwe mkoani Kigoma.

Marehemu Diana alifariki tarehe 24.01.2025 katika Hosiptali ya Bugando Mwanza wakati akipatiwa matibabu.

Yafuatayo ni matukio katika picha ya mazishi ya Mratibu Diana Rubanguka.

1
2
Share This

COMMENTS

Wordpress (0)
Disqus (0 )