Author: Kigomapressclub
RC SIRRO AZINDUA ZOEZI LA CHANJO NA UTAMBUZI MIFUGO KIGOMA
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Ispekta Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Polisi Mhe. Balozi Simon Sirro amewataka wafugaji Mkoani Kigoma kushiriki ... Soma zaidi
MKUU WA MKOA KIGOMA BALOZI SIRRO AKABIDHIWA OFISI
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andengenye amekabidhi Ofisi kwa Mkuu wa Mkoa Mpya wa Kigoma Balozi Simoni Sirro ... Soma zaidi
WAZIRI MKUU: TUTAENDELEA KUWALINDA NA KUWAPATIA FURSA STAHIKI WATU WENYE ULEMAVU.
Na Mwandishi Wetu, Kigoma WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inawathamini Watu ... Soma zaidi
MRADI WA KUJENGA USTAHIMILIVU WA MABADIRIKO YA TABIA NCHI WAZINDULIWA KIGOMA
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andengenye amezindua mradi wa kujenga Ustahimilivu wa Mabadiliko ya Hali ya Tabia Nchi mkoani ... Soma zaidi
MAIN FM YASAIDIA KUIBUA VIPAJI VYA MICHEZO KIGOMA – DC KIGOMA
Mkuu wa Wilaya Kigoma Dkt Rashid Chuachua (wakatikati) azindua jezi kwaajili ya Main FM cup msimu wa pili 2025. Na Editha Karlo,Kigoma MKUU wa Wilaya ... Soma zaidi
UJENZI WA UZIO KWENYE SHULE NCHINI, SERIKALI YAJA NA MKAKATI MAALUM
Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Serikali imesema tayari imeweka bajeti na michoro (Master Plan) kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika shule zote za Hsekondari za ... Soma zaidi
TIMU ZA USIMAMIZI WA AFYA NGAZI YA MIKOA ZAELEKEZWA KUSIMAMIA MIRADI YA AFYA
Na Mwandishi Wetu, Dar Es Salaam. Mkurugenzi wa Idara ya Afya Lishe na Ustawi wa Jamii, Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Rashid Mfaume amezielekeza timu ... Soma zaidi
RC KIGOMA AKABIDHI MAGARI KITENGO CHA LISHE MKOA NA HALMASHAURI
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Jamii imetakiwa kuzingatia utoaji wa lishe bora kwa watoto ili kujenga msingi mzuri wa makuzi jambo litakalosababisha uwepo cha kizazi chenye ... Soma zaidi
UVINZA WAZINDUA UGAWAJI WA MITUNGI YA GESI.
Na Mwandishi Wetu, Uvinza - Kigoma Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mh. Dinah Mathamani amezindua Ugawaji wa mitungi ya gesi kwa gharama ya elfu ishirini ... Soma zaidi
MFUMO WA SQAS KUBORESHA UTENDAJI KAZI MASHULENI
Na Mwandishi Wetu, Kasulu Kigoma Mfumo wa Kidigitali wa Uthibiti Ubora (SQAS) utaboresha utendaji kazi mashuleni kutokana matumizi yake kurahisisha upatikanaji wa taarifa sahihi kwa ... Soma zaidi