Category: AFYA
HUDUMA ZA KIBINGWA ZA MIFUPA, UBONGO SASA KUPATIKANA NYANDA ZA JUU KUSINI
Na Mwandishi Wetu, Iringa Serikali kupitia Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imedharia kuzisogeza huduma za kibingwa za mifupa, ubongo na mishipa ... Soma zaidi
WAJAWAZITO KATA YA BUHANDA KIGOMA UJIJI WASOGEZEWA HUDUMA YA UPASUAJI
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Wananchi wa kata ya Buhanda Manispaa ya Kigoma Ujiji wameondokana na adha ya kufuata huduma za upasuaji katika hospital ya rufaa ... Soma zaidi
TAASISI INAYOFUNZA PANYA KUPIMA VIMELEA VYA TB YAJIPANGA KUISHAWISHI WHO KUIDHINISHA NJIA HIYO KUWA RASMI TANZANIA
Moja ya panya wanatumika kupima TB Happiness Tesha, Kigoma Taasisi ya APOPO inayoendesha mradi wa Panya wanaotumika kugundua virusi vya ugonjwa Kifua Kikuu(TB), nchini Tanzania ... Soma zaidi
UTUMIAJI WA KILEVI, SIGARA NA KUTOTUMIA DAWA ZA FROLIC ACIDI KWA MJAZIMTO, CHANZO CHA WATOTO KUZALIWA NA MDOMO WAZI
Na Mwajabu Hoza, Kigoma. UTUMIAJI wa kilevi,uvutaji wa sigara na kutotumiwa kwa Dawa za Frolic Acidi kwa mjazimto kunatajwa kuwa sababu ya baadhi ya watoto ... Soma zaidi
WILAYA YA UVINZA, YATOA TAKRIBANI SHILINGI MILIONI 25 KWA AJILI YA KUKAMILISHA UJENZI WA KITUO CHA AFYA
Mwajabu Hoza, Kigoma. Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, mkoani Kigoma, imetoa fedha takribani milioni 25 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo cha afya cha ... Soma zaidi
MCHANGO WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUPUNGUZA TATIZO LA UDUMAVU WILAYANI KIBONDO
Na Mwajabu Hoza, Kigoma Vyombo vya habari vimekuwa na mchango mkubwa katika kupunguza tatizo la udumavu kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano ... Soma zaidi