Category: Uncategorized

MABALOZI 600 WA CCM WATEMBELEA MIRADI INAYOTEKELEZWA NA SERIKALI KIGOMA

Kigomapressclub- March 29, 2025 0

Na Mwandishi Wetu, Kigoma Karibu mabalozi mia sita wa Chama cha Mapinduzi CCM katika manispaa ya kigoma mjini wametembelea miradi mikubwa inayotekelezwa na serikali ya ... Soma zaidi

MKOA WA KIGOMA SIO SEHEMU YA KUPATIA AJIRA NA KUHAMA: NAIBU WAZIRI SANGU

Kigomapressclub- November 17, 2024 0

Na Mwandishi Wetu, Kigoma Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu amesema Kigoma sio mkoa wa kupatia ... Soma zaidi

AHUKUMIWA MIEZI SITA JELA KWA KOSA LA KUIBA MITA ZA MAJI KIGOMA UJIJI

Kigomapressclub- November 16, 2024 0

Na Mwandishi Wetu, Kigoma Mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Kigoma Ujiji imemhukumu Emmanuel Hiraly (19) kifungo cha miezi sita jela kwa kosa la kuiba mita ... Soma zaidi

TARI MKOANI KIGOMA, IMESEMA HEKARI 59560 ZA MASHAMBA YA MCHIKICHI IMEPANDWA NCHINI

Kigomapressclub- November 15, 2024 0

Mkurugenzi wa TARI Kihinga Filson  Kagimbo (kulia) akimkabidhi miche  bora ya michikichi Makamu Mwenyekiti Chama cha Waandishi wa Habari mkoa wa Kigoma (KGPC), Jacob Ruvilo. ... Soma zaidi

HAKUNA VITUO BANDIA VYA KUANDIKISHA WAPIGA KURA : MH. MCHENGERWA

Kigomapressclub- October 15, 2024 0

Na Mwandishi Wetu, Mwanza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu ... Soma zaidi